Ushonaji & Tailoring
0
Maoni
0
Kazi Kamili
—
Miaka Uzoefu
TZS 15,000
Bei Kuanzia
Nimebobea katika ushonaji wa nguo zote za kike,nina ujuzi wa zaidi ya miaka 20, napokea oda mikoa yote, na kazi zangu sio za kubahatisha, maelewano vizuri, nitafute kupia mawasiliano yaliopo kwenye profile yangu, Karibuni sana wateja wangu, niko kukufanya uonekane classic..
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kumpa nyota fundi huyu!
Ingia kwenye akaunti ya mteja kumpa fundi nyota.
Ingia Sasa
YUSTER
Ushonaji & Tailoring
Shiriki Wasifu Huu